Alika Kidigitali. Jua Nani Anakuja. Scan Wageni.
Unda mwaliko, tuma kupitia SMS, WhatsApp na barua pepe, kisha uone RSVP inatoka moja kwa moja.

- Unda na ubinafsishe mwaliko
- Tuma kwa SMS, WhatsApp na barua pepe
- Ona RSVP wageni wanapojibu

Mialiko, RSVP, michango, Ahadi, Bajeti na upangaji wa sherehe — mahali pamoja.
Inatumika kupanga
Kuanzia kupanga bajeti, kufanya malipo na manunuzi ya bidhaa, kukusanya michango, kupokea ahadi, na kutuma mialiko yenye RSVP...bila kutumia nguvu
Unda mwaliko, tuma kupitia SMS, WhatsApp na barua pepe, kisha uone RSVP inatoka moja kwa moja.

Weka lengo la mchango, pokea fedha, halafu tuma vikumbusho kwa wale waliobaki—ukiwa na salio la SMS na WhatsApp.
Rekodi ahadi, fuatilia nani ameahidi, na ufuatilie hadi ikamilike—kwa mpangilio safi.

Weka bajeti kwa makundi, weka mipaka, ongeza matumizi, na uone kilichobaki kabla siku haijafika.

Chagua matumizi, lipa moja kwa moja, na bajeti inasasishwa moja kwa moja.

Pata wapigapicha, maeneo, maua, keki na huduma nyingine—kwa sherehe yako, karibu na wewe.

Unda mwaliko, tuma kupitia SMS, WhatsApp na barua pepe, kisha uone RSVP inatoka moja kwa moja.

01 / 06
Mialiko & RSVP
Mialiko
Kadi moja ya mwaliko inamfikia mgeni kwa SMS na WhatsApp, pamoja na namba yake ya mwaliko.

Ujumbe za ukumbusho
Kumbusha Michango na Ahadi
Nunua salio la SMS na WhatsApp kwa sherehe yako. Tumia kuwakumbusha wageni kuhusu michango na ahadi, wakati wowote unapohitaji.
Mawasiliano ya sherehe
SMS
kwa kila kikumbusho
Tsh 50
kwa kila ujumbe
kwa kila kikumbusho
Tsh 120
kwa kila ujumbe
NB: Tunatoza baada ya ujumbe kufika, si baada ya kutumwa.

Endeleza mchango
Nunua salio kwa sherehe yako na utumie unapohitaji. Tuma kikumbusho kimoja au vingi — salio ni lako.
01 · Nunua salio
Ongeza salio la SMS au WhatsApp kwenye sherehe.
02 · Tuma vikumbusho
Wakumbusha wageni kuhusu michango na ahadi.
03 · Tumia unavyohitaji
Endelea kutuma salio linapokuwepo.
Kadiria
Unawaalika wageni wangapi?
200 × Tsh 1,000
Jumla ya mialiko
Tsh 200,000
Kadiria vikumbusho
0 × Tsh 50
Tsh 0
0 × Tsh 120
Tsh 0
Maoni ya watumiaji
Wasiliana nasi
Anza sherehe, au tuma ujumbe ukiwa na swali. Fomu inabaki kwenye ukurasa huu kwa sasa.